SOUTHERN HIGHLANDS OF COLLEGE AND ALLIED SCIENCE NAFASI ZA MASOMO MWAKA 2020/2021

 

 MKUU WA CHUO CHA SOURTHERN HIGHLANDS COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE(SHCOHAS)  CHENYE REG NUMBER: REG/HAS/200 ANAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2020/2021 

Chuo kinatoa course ya Clinical Medicine kwa ngazi ya Cheti na Diploma sifa za mwombaji na gharama za ada zimeambatanishwa kwenye Form ya Maombi inayopatikana chini hapo 


Baadhi ya picha zikionesha wanafunzi wetu wakiwa darasani  wakijifunza mafunzo kwa njia ya vitendo chuoni.

Wanafunzi wakiwa Maktaba kwa ajili ya kujisomea  Mlete kijana wako hutojutia  SHCOHAS

Chuo kina walimu wazoefu na wenye uwezo mnzuri kuwafanya wanafunzi kufikia malengo yao.
 

karibu sana piga au whatsapp kwa mawasiliano zaidi +255769185639
download Application Form hapa chini  

   



Maabara ya kisasa wanafunzi wetu wakiwa katika hatua za kujifunza kwa vitendo hapa chuoni kwetu mlete kijana wako afaidike na taaluma tutakayompatia 















Kwa Mahitaji ya kuwekea tangazo lako bure kabisa Nipigie au tuma ujumbe 0656391899 au 0789435341

Post a Comment

0 Comments