BENNY TECH


Meizu Zero simu ya kwanza na pekee Duniani ambayo haina tundu sehemu yoyote ile:
Hii ikiwa na maana hata spika zake hazina vitundu bali zinatumia teknolojia ya "mSound 2.0" ambapo sauti inatokea moja kwa moja kwenye skrini ya simu hiyo, pia njia pekee ya kuichaji ni kwa kutumia wireless chaja kwa sababu hakuna port ya kuweza kuchomeka kitu chochote kile.
Hata sehemu ya kuwekea laini haitokwepo kwenye Meizu Zero badala yake kuna teknolojia ya eSIM ambayo mtu anaweza kutumia mtandao wowote ule pasipo kuwa na laini ya mtoa huduma.
Mwendo wa Wireless

Source:Trojan

Post a Comment

0 Comments