MATOKEO DARASA LA SABA 2019/2020

BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA (NECTA)
Image result for matokeo ya darasa la saba 2019
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78. Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu.
Mtoto Francis Hussein Gwagi kutoka Shule ya Msingi Paradise iliyopo mkoani Chato amekuwa mwanafunzi bora na kushika namba moja kitaifa kwenye matokeo ya darasa la saba 2019 kwa upande wa wavulana.
Angalia zaidi kupitia https://matokeo.necta.go.tz/psle/psle.htm

Post a Comment

0 Comments