JINSI YA KULIPWA KUPITIA YOU TUBE CHANNEL



KARIBU TENA MZUMBE SOKONI LEO DARASANI TUTAJIFUNZA 

  Je wajua kwamba unaweza kujipatia pesa nyingi sana kwa kupitia youtube?  labda unajiuliza ni jinsi gani jambo kama hilo likawezekana,  usiwaze mtu wangu, leo ntakupa maujanja kuhusu mchongo huu, shtuka kwanza, video nyingi ambazo hua unazitazama youtube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo    yawezekana hujawahi kuujua ukweli huu, ni rahisi sana kujiingizia pesa kwa kupitia youtube endapo ukafahamu kiundani kuhusu jambo hilo .MAMBO YA MUHIMU YA KUYAFANYA ILI KUJIPATIA PESA NI HAYA HAPA    1.UNATAKIWA KUWA NA YOUTUBE CHANNEL YA KWAKO     Youtube channel ni nini? hii ni akaunt yako binafsi ya youtube ambayo utakuwa ukiitumia kupost videos  jinsi ya kuifungua ni rahisi saana  kwanza ingia  youtube kisha bonyeza SIGN IN  hiyo link ipo upande wa kulia juu kisha ingiza email yako ambayo utakuwa unaitumia na namba password yako 
 Ita load kisha itafungua ukurasa mpya, katika huo ukurasa bonyeza   MY CHANNEL  upande wa kushoto
Baada ya hapo yatakuja maelezo yanayotaka ukamilishe kutengeneza channel yako, kisha tayari utakuwa umeshatengeneza channel ya kwako.                                                                                         
  2.KUPATA MATANGAZO KATIKA CHANNEL YAKO  KUTOKA GOOGLE ADSENSE                 Kumbuka kwamba pesa unazopata kupitia youtube ni kutokana na matangazo hayo ambayo utatumiwa kutoka google (automatically) , matangazo hayo yatakuwa yakionekana katika video  zako utakazokuwa unazipost   lakini ili kupata matangazo hayo utatakiwa kukidhi VIGEZO.. ambavyo ni              >LAZIMA CHANNEL YAKO IWE IMETUMIKA KWA MIEZI ISIYOPUNGUA MITATU              >LAZIMA CHANNEL YAKO IWE NA VIEWS WASIOPUNGUA 1000 KWA HIYO MIEZI MITATU                          3.LAZIMA CHANNEL YAKO IWE NA SUBSCRIBES ZISIZOPUNGUA 100                                     >LAZIMA UWE NA ACCOUNT YA GOOGLE ADSENSE (kwaajili ya kulipwa pesa utakazoingiza na kujua kiasi ulichoingiza)   ( ntaelekeza jinsi ya kuifungua)  .   Endapo umekidhi viwango na vigezo hivyo ili kupata matangazo, ndani ya channel yako bonyeza  SETTING   kisha bonyeza ADVANCED SETTING   kisa weka alama ya tiki kwenye manenoADVERTISMENTS  kisha upande wa kushoto bonyezastatus and features   kisha bonyeza Enable kwenyeMonetization wataleta mshari yao bonyeza Start  kuonyesha umekubali masharti yao,  kisha weka alama ya tiki kwenye vibox vitatu vitakavyotokea kisha bonyeza Create,  google wataingia kwenye account yako kuona kama kweli umekidhi vigezo na masharti,  kama umekidhi vigezo vya pale juu baada ya masaa manne utaanza kupokea matangazo kwenye video zako nawe utaanza kuingiza pesa hapohapo kupitia watu wanaoangalia video unazopost  kwani watakuwa wakiona pia matangazo hayo,  jinsi watu wanavyo tazama zaidi video zako ndivyo unavyojiingizia pesa zaidi.                                                                                                                       USHAURI WANGU KWAKO                                                                                                                     Baada ya kutengeneza account yako ya youtube anza kuapload video na kuzipost ili kukidhi vigezo vya kupata matangazo yaani views 1000 na subscribes 100 pia uwe mbunifu kwenye video zako ili kuwavutia watazamaji wa youtube nadhani huwa unaona video huko YOU TUBE .                                                                                           
  ANGALIZO                                                                                                                                               Katika video unazo post epuka kupost video zenye HATI MILIKI (COPYRIGHT) Kwani wamiliki wa video hizo wakitoa malalamiko yao google kwamba unapost video zao bila idhini yao account yako itapewa onyo kali na inawezekana  hutapokea matangazo tena kwahiyo hutaingiza pesa tena, Mfano wa video zenye hati miliki ni video zote za diamond, vannesa mdee na wengineo wengi. PIA epuka kuingia youtube na kuangalia video zako ili kujiongezea views kwa kutumia simu au laptot uliyo tengenezea account ya youtube kwani google wanatagundua pia utapewa onyo!! HIVYO UKITAKA KUJIONGEZEA VEWS TUMIA SIMU AU LAPTOP ZA WENGINE.     .
 ILI KUTENGENEZA ACCOUNT NA KUJIUNGA NA GOOGLE ADSENSE BONYEZA HAPA >>> www.google.com/adsense/start/#/?modal_active=none
                                                           KWA MAWASILIANO
                                                     CALL/WHATSAPP:+255678714261

Post a Comment

0 Comments